Igunga, Tabora, Tanzania
Igunga, Tabora, Tanzania
Huduma Yetu
Upatikanaji na Usambazaji:Tunapata mahindi kutoka maeneo kama Singida, Tabora, Kigoma, Katavi, na Ruvuma, na kuyasambaza ndani ya nchi na kimataifa, ikiwemo Kenya na Uganda.
Usindikaji na Ufungashaji:Mahindi yaliyosagwa huzalisha unga wa hali ya juu pamoja na pumba. Unga hufungashwa katika mifuko ya kilo 5, kilo 10, na kilo 25, kuhakikisha urahisi kwa wateja wa rejareja na wa jumla.
Lengo letu kuu ni kutoa huduma za kiwango cha juu kwa bei ambayo ni ya manufaa kwa wateja.
Huduma nyingi hutolewa kulingana na bajeti ya mteja. Kuna huduma zinazofaa bajeti kubwa na nyingine bajeti ndogo. Tumejizatiti kuhakikisha huduma zote zinatolewa ndani ya muda uliokadiriwa.
Siku zote tunapunguza muda kati ya uwasilishaji wa mchakato na ukamilishaji wake. Hii hufanywa bila kuathiri ubora wa huduma inayotolewa.